KWA HABARI ZA MICHEZO NA BURUDANI WASILIANA NASI KWA NAMBA 0719-153800 AU 0788-455808 AU EMAIL rashidzahor67@gmail.com '

Thursday, November 29, 2012

MISS UNIVERSE TANZANIA 2012 AKABIDHIWA BENDERA


Katibu Mtendaji wa Baraza la Sanaa nchini(BASATA) Ghonche Materego(kushoto picha ya juu) akimkabidhi bendera ya Taifa Mrembo wa Tanzania anayeshikilia taji la Miss Universe 2012, Winfrida Dominic, kwenye ofisi za Baraza hilo jijini Dar es Salaam jana. Mrembo huyo anaiwakilisha Tanzania kwenye fainali za mashindano hayo nchini Marekani yanayotarajiwa kufanyika Desemba 19 mwaka huu. Picha ya chini, Materego akizungumza na mrembo huyo kabla ya kumkabidhi bendera.

No comments:

Post a Comment