KWA HABARI ZA MICHEZO NA BURUDANI WASILIANA NASI KWA NAMBA 0719-153800 AU 0788-455808 AU EMAIL rashidzahor67@gmail.com '

Monday, November 19, 2012

WALIOPITISHWA KUWANIA UONGOZI DRFA HAWA HAPA


Wagombea waliopitishwa na kamati ya uchaguzi ya mkoa wa Dar es Salaam kwa ajili ya uchaguzi mkuu wa DRFA


Mwenyekiti
Evance Aveva, Ayoub Nyenzi, Brown Ernest, Almas Kasongo

Makamu Mwenyekiti.
Mede Ramadhan, Salum Mwaking`inda, Ngungulugwa Tambaza, Issck Mazwile

Katibu mkuu
Msanifu Kondo, Hamisi Ambali

Mjumbe mkutano Mkuu
Shaffih Dauda, Muhsin Balabouh, Shufaa Jumanne, Issack Mazwile

Mwakilishi wa Vilabu mkutano mkuu
Ben Kisaka, Juma Pinto, Frank Mchaki

Wajumbe
Shaaban Mohamed, Siza Chenja, Sunday Mwanahewa, Hamisi Kisiwa, Frank Mchaki, Bakary Mtumwa.

Waliokatwa
Said Tully (Katibu Mkuu ) , Ally Mayay (Makamu Mwenyekiti ), Philemon Ntahiraja ( Mwakilishi wa Vilabu mkutano mkuu ), Salum Mkemi ( Mwenyekiti )

No comments:

Post a Comment