KWA HABARI ZA MICHEZO NA BURUDANI WASILIANA NASI KWA NAMBA 0719-153800 AU 0788-455808 AU EMAIL rashidzahor67@gmail.com '

Wednesday, May 19, 2010

DALALI AKABIDHI OFISI KWA RAGE



Mwenyekiti wa zamani wa klabu ya Simba, Hassan Dalali akikabidhi kombe la ubingwa wa ligi kuu ya Vodacom kwa Mwenyekiti mpya wa klabu hiyo, Ismail Aden Rage wakati wa makabidhiano ya ofisini yaliyofanyika makao makuu ya klabu hiyo mtaa wa Msimbazi mjini Dar es Salaam jana.

No comments:

Post a Comment