KWA HABARI ZA MICHEZO NA BURUDANI WASILIANA NASI KWA NAMBA 0719-153800 AU 0788-455808 AU EMAIL rashidzahor67@gmail.com '

Friday, May 14, 2010



MCHEZAJI Alphonce Donald (mbele) wa Shinyanga akimdhibiti John Boscow wa Mwanza Heroes timu hizo zilipomenyana juzi katika mechi ya mashindano ya Kombe la Taifa iliyochezwa kwenye Uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza. Wenyeji Mwanza walishinda mabao 2-1.(Picha na Executive Solutions)

No comments:

Post a Comment