KWA HABARI ZA MICHEZO NA BURUDANI WASILIANA NASI KWA NAMBA 0719-153800 AU 0788-455808 AU EMAIL rashidzahor67@gmail.com '

Monday, October 8, 2012

WASHIRIKI WA REDDS MISS TANZANIA WATEMBELEA HIFADHI YA MLIMA KILIMANJARO

Warembo wanaoshiriki shindano la Redds Miss Tanzania 2012, wakiwa katika picha ya pamoja Oktoba 7, 2012 wakati warembo hao walipo tembelea Hifadhi ya Mlima Kilimanjaro na kupata maelezo na kuzungumza na watalii na wapanda mlima huo. Warembo 29 na viongozi wa  Kamati ya Miss Tanzania wapo Kanda ya Kaskazini kutembelea vivutio vya utalii na kuhamasisha utalii wa ndani. Mbali na kutembelea hifadhi hiyo lakini warembo hao walishiriki katika tamasha la michezo kwaajili ya kuchangia fedha na vitu mbalimbali kwa watoto Yatima mjini Arusha. Oktoba 8 warembo wanaendelea na ziara yao ikiwa ni pamoja na kutembelea kituo cha Redio cha RADIO 5 cha mjini Arusha.

No comments:

Post a Comment