KWA HABARI ZA MICHEZO NA BURUDANI WASILIANA NASI KWA NAMBA 0719-153800 AU 0788-455808 AU EMAIL rashidzahor67@gmail.com '

Saturday, October 8, 2011

Kazi ni kazi

Baada ya kushuhudia upakiaji bidhaa katika bandari bubu Musoma Mjini, nikakutana na mama huyu na sijui ni wadogo zake ama watoto wake wakijaza dagaa kwenye magunia tayari kwa kuwauza. Mama huyo alisema dagaa hao wanatoka kwenye visiwa vya ziwa victoria na wateja wao wakubwa ni wafanyabiashara wa mikoa ya kanda ya ziwa.

No comments:

Post a Comment