KWA HABARI ZA MICHEZO NA BURUDANI WASILIANA NASI KWA NAMBA 0719-153800 AU 0788-455808 AU EMAIL rashidzahor67@gmail.com '

Saturday, October 8, 2011

Bandari Bubu



Inasikitisha na ni hatari, lakini ndo ukweli wenyewe. Mkoa wa Mara kwa sasa hauna bandari. Hii ni bandari bubu, ambayo wafanyabiashara wanaomiliki vyombo hivi vya safari vya majini wameibuni kwa ajili ya kupania na kushusha bidhaa zao. Hali hii ilishuhudiwa na mmiliki wa blogu hii alipokuwa safarini katika mikoa ya Mwanza na Mara hivi karibuni.

No comments:

Post a Comment