KWA HABARI ZA MICHEZO NA BURUDANI WASILIANA NASI KWA NAMBA 0719-153800 AU 0788-455808 AU EMAIL rashidzahor67@gmail.com '

Wednesday, May 30, 2012

WEMA AVISHWA PETE NYINGINE YA UCHUMBA



Mwimbaji wa bendi ya muziki wa dansi ya Machozi, Mwinyi akimvalisha pete ya uchumba mwigizaji nyota wa wa filamu za bongo movie, Wema Sepetu wakati wa onyesho la bendi hiyo lililofanyika juzi kwenye ukumbi wa Maisha Club Jijini Dar es Salaam. (Picha/Dj Choka Blog).

No comments:

Post a Comment