Hawa ni wacheza filamu wawili maarufu duniani. Wamecheza filamu nyingi za kivita na kibabe na kujipatia umaarufu mkubwa. Wote wawili ni Wamarekani. Ni miongoni mwa matajiri wa Hollywood. Je, unawatambua ni akina nani? Na mahali walipo ni wapi na walikuwa wanafanya nini? Nakaribisha majibu yenu-Mmiliki wa blogu, Zahor.Karibuni ndugu wasomaji wapenzi katika blogu hii, ambayo itakuwa maalumu kwa habari za michezo na burudani pamoja na makala zinazowahusu wasanii na wanamichezo mbalimbali. Na pale itakapobidi, blogu hii pia itakuwa ikiwaletea habari mbalimbali kuhusu jamii na matukio ya kimataifa. Karibuni sana kwa kuchangia habari, makala na mada mbalimbali. Unaweza kuwasiliana nami kupitia email: ramoza1967@live.com au rashidzahor@hotmail.com au simu namba 0788-455808, 0719-153800.
Thursday, February 9, 2012
UNAWAFAHAMU WATU HAWA?
Hawa ni wacheza filamu wawili maarufu duniani. Wamecheza filamu nyingi za kivita na kibabe na kujipatia umaarufu mkubwa. Wote wawili ni Wamarekani. Ni miongoni mwa matajiri wa Hollywood. Je, unawatambua ni akina nani? Na mahali walipo ni wapi na walikuwa wanafanya nini? Nakaribisha majibu yenu-Mmiliki wa blogu, Zahor.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment