KWA HABARI ZA MICHEZO NA BURUDANI WASILIANA NASI KWA NAMBA 0719-153800 AU 0788-455808 AU EMAIL rashidzahor67@gmail.com '

Wednesday, February 1, 2012

EUSEBIO ATIMIZA MIAKA 70



RAIS wa Shirikisho la Soka la Dunia (FIFA), Sepp Blatter amemtumia salamu za kumtakia heri mwanasoka nyota wa zamani wa Ureno, Eusebio kwa kutimiza umri wa miaka 70. Eusebio, nyota wa zamani wa Ureno na klabu ya Benfica na mzaliwa wa Msumbiji, alitimiza umri huo Januari 25 mwaka huu. Hivi karibuni, Eusebio alilazwa hospitali kwa siku kadhaa kutokana na kusumbuliwa na maumivu ya shingo, lakini kwa sasa hali yake inaendelea vizuri. Pichani, Blatter akiwa na Eusebio katika moja ya mikutano ya shirikisho hilo.

No comments:

Post a Comment