KWA HABARI ZA MICHEZO NA BURUDANI WASILIANA NASI KWA NAMBA 0719-153800 AU 0788-455808 AU EMAIL rashidzahor67@gmail.com '

Thursday, February 16, 2012

MAMBO YA TWANGA PEPETA



Mwimbaji wa bendi ya muziki wa dansi ya Twanga Pepeta, Dogo Rama (kushoto) akicheza na mcheza shoo wa bendi hiyo, Maria Saloma wakati wa onyesho la siku ya wapendanao lililofanyika juzi kwenye ukumbi wa Equator Grill, Temeke, Dar es Salaam. (Picha na Emmanuel Ndege).

No comments:

Post a Comment