KWA HABARI ZA MICHEZO NA BURUDANI WASILIANA NASI KWA NAMBA 0719-153800 AU 0788-455808 AU EMAIL rashidzahor67@gmail.com '

Monday, January 23, 2012

Kwa kweli Rihana ni moto si mchezo!














Waswahili wanasema, mnyonge mnyongeni, lakini haki yake mpeni. Kusema ule ukweli, mwanamuziki Rihana wa Marekani ameumbwa na kuumbika, ametonwa na kutoneka, amenakshiwa na kunakshika si mchezo. Sura nzuri, umbo zuri kiasi kwamba nakosa maneno mengine mazuri zaidi ya kumwelezea nikaeleweka vyema. Ee Mwenyezi Mungu endelea kuumba viumbe wa aina hii ili waje waipambe dunia yako hii yenye wingi wa adha na madhila na starehe zilizovuka mpaka na kuwafanya baadhi yetu uliowajalia utajiri na maisha mazuri, wasahau kwamba kuna kitu kinaitwa kifo.

No comments:

Post a Comment