KWA HABARI ZA MICHEZO NA BURUDANI WASILIANA NASI KWA NAMBA 0719-153800 AU 0788-455808 AU EMAIL rashidzahor67@gmail.com '

Wednesday, January 18, 2012

AZAM YAONYESHA UWEZO

HILI ndilo basi jipya la klabu ya Azam aina ya Yutong lililonunuliwa hivi karibuni kwa gharama ya sh. milioni 350. Basi hili ndilo lililotumika kuipokea timu hiyo iliporejea Dar es Salaam ikitokea Zanzibar, ambako wiki iliyopita ilitwaa ubingwa wa michuano ya Kombe la Mapinduzi baada ya kuichapa Jamhuri ya Pemba mabao 3-1 katika mechi ya fainali.

No comments:

Post a Comment