KWA HABARI ZA MICHEZO NA BURUDANI WASILIANA NASI KWA NAMBA 0719-153800 AU 0788-455808 AU EMAIL rashidzahor67@gmail.com '

Saturday, January 21, 2012

MZEE YUSUPH ATINGA MAREKANI



MWIMBAJI Mzee Yusuph wa kundi la muziki wa taarab la Jahazi, akiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wawili wa ofisi ya ubalozi wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa mjini New York, Marekani alipotembelea ofisini hapo juzi. Mzee yupo nchini Marekani kwa ziara ya maonyesho kadhaa ya taarab na onyesho lake la kwanza litafanyika leo.

No comments:

Post a Comment