KWA HABARI ZA MICHEZO NA BURUDANI WASILIANA NASI KWA NAMBA 0719-153800 AU 0788-455808 AU EMAIL rashidzahor67@gmail.com '

Wednesday, March 5, 2014

DK NAJIM MSENGA AIPIGA TAFU VIJANA JAZZ


Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, wilayani Lushoto, Dk. Najim Msenga (mwenye suti ya bluu) akiwa katika picha ya pamoja na wanamuziki wa bendi ya Vijana Jazz baada ya kujitangaza kuwa mlezi wao wakati wa hafla ya kukabidhi kadi kwa wanachama wapya wa CCM, iliyofanyika mwanzoni mwa wiki hi kwenye ukumbi wa Vijana, Kinondoni, Dar es Salaam. Dk Najim aliizawadia Vijana Jazz sh. milioni moja na kujitolea kuwa mlezi wake. (Picha na Emmanuel Ndege).

No comments:

Post a Comment