KWA HABARI ZA MICHEZO NA BURUDANI WASILIANA NASI KWA NAMBA 0719-153800 AU 0788-455808 AU EMAIL rashidzahor67@gmail.com '

Wednesday, March 5, 2014

NYOTA WA ZAMANI TANGA WALIPOKUTANA MSIBANI


BAADHI ya wanasoka nyota wa zamani wa mkoani Tanga wakiwa katika picha ya pamoja wakati wa mazishi ya mchezaji mwenzao, Bakari Jecki, yaliyofanyika wiki iliyopita wilayani Muheza. Kushoto ni Yanga Omari, Mwalimu Salehe, Razak Yusuf 'Careca', Mweri Simba, Mwihaji Ally, Mohamed Kampira, Salim Amiri na Elisha John. (Picha na Sophia Wakati).

No comments:

Post a Comment