KWA HABARI ZA MICHEZO NA BURUDANI WASILIANA NASI KWA NAMBA 0719-153800 AU 0788-455808 AU EMAIL rashidzahor67@gmail.com '

Thursday, June 10, 2010

Bwagamoyo Sound yazaliwa upya



MWIMBAJI na kiongozi wa bendi ya muziki wa dansi ya Bwagamoyo Sound, Mwinjuma Muumin akiwaongoza wacheza shoo wake kufanya vitu vyao katika onyesho la uzinduzi wa bendi hiyo lililofanyika hivi karibuni kwenye ukumbi wa Vatican City, Sinza, Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment