KWA HABARI ZA MICHEZO NA BURUDANI WASILIANA NASI KWA NAMBA 0719-153800 AU 0788-455808 AU EMAIL rashidzahor67@gmail.com '

Tuesday, June 21, 2011

NAOMBA KURA ZENU



Ndugu wasomaji wa blogu hii ya liwazozito, napenda kuwafahamisha kuwa, blogu yangu imechaguliwa kuwania tuzo ya blogu bora Tanzania. Awali ya yote nawashukuru wale wote waliopendekeza blogu hii iingie kwenye tuzo hiyo kupitia kipengele cha Sports na Entertainment. Pili naomba kura zenu ili blogu hii iweze kuibuka na ushindi katika tuzo hizo.

Asante kwa ushirikiano wenu.

No comments:

Post a Comment