
Warembo watano walioingia hatua ya fainali ya shindano la Miss Tanzania 2011

MREMBO wa Tanzania wa mwaka 2011, Salha Israel (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na mshindi wa pili, Tracy Sospeter (kushoto) na mshindi wa tatu, Alexia Williams (kulia) mara baada ya kutangazwa matokeo ya shindano hilo lililofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita kwenye ukumbi wa Mlimani City, Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment