KWA HABARI ZA MICHEZO NA BURUDANI WASILIANA NASI KWA NAMBA 0719-153800 AU 0788-455808 AU EMAIL rashidzahor67@gmail.com '

Thursday, September 15, 2011

Nelly Kamwelu arejea nchini leo



MWAKILISHI wa Tanzania katika shindano la Miss Universe 2011, Nelly Kamwelu amerejea nchini leo akitokea Sao Paolo, Brazil ambako mwishoni mwa wiki iliyopita alikuwa miongoni mwa washiriki 88 kutoka nchi mbalimbali duniani waliowania taji hilo. Hata hivyo, Nelly hakufanikiwa kuingia kwenye hatua ya warembo 16 bora, lakini alifanya vizuri katika vazi la kitaifa. Pichani, mrembo huyo akiwa kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere, Dar es Salaam mara baada ya kurejea nchini leo.

No comments:

Post a Comment