KWA HABARI ZA MICHEZO NA BURUDANI WASILIANA NASI KWA NAMBA 0719-153800 AU 0788-455808 AU EMAIL rashidzahor67@gmail.com '

Friday, March 25, 2011

MWIMBAJI wa bendi ya muziki wa dansi ya Mlimani Park Orchestra, Hussein Jumbe akiserebuka na mcheza shoo wa bendi hiyo wakati wa onyesho dhidi ya Msondo Ngoma lililofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee, Dar es Salaam. (Picha na Emmanuel Ndege).

No comments:

Post a Comment