KWA HABARI ZA MICHEZO NA BURUDANI WASILIANA NASI KWA NAMBA 0719-153800 AU 0788-455808 AU EMAIL rashidzahor67@gmail.com '

Sunday, August 6, 2017

MTANZANIA ASHIKA NAFASI YA TATU MBIO ZA DUNIAMTANZANIA Alphonce Felix Simbu amefanikiwa kushika nafasi ya tatu katika mbio za dunia za IAAF zinazoendelea kufanyika nchini Uingereza katika Jiji la London.

Simbu ameshika nafasi ya tatu nyuma ya Mkenya aliyeshika nafasi ya kwanza akifuatiw ana Muethiopia aliyeshika nafasi ya pili.

Akitumia masaa 2 na dakika 10 Simbu aliweza kushiuka nafasi ya tatu baada ya kumpita Mkenya mwingine aliyejua kushika nafasi ya tano.

Hii inakuwa ni kwa mara ya kwanza kwa Simbu kushika nafasi ya tatu baaada ya mwaka jana katika mbio ndefu za  London Marathonaliweza kushika nafasi ya tano.

No comments:

Post a Comment