KWA HABARI ZA MICHEZO NA BURUDANI WASILIANA NASI KWA NAMBA 0719-153800 AU 0788-455808 AU EMAIL rashidzahor67@gmail.com '

Thursday, September 30, 2010

WAANDISHI WANAPOKETISHWA NYUMA YA UZIO!


BAADHI ya waandishi kutoka vyombo mbalimbali vya habari wakiripoti mechi ya ligi kuu ya soka ya Vodacom kati ya Yanga na Kagera Sugar wakiwa nyuma ya uzio wa uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro baada ya kuzuiwa kuingia ndani ya uwanja huo. Katika mechi hiyo iliyochezwa wiki iliyopita, Yanga ilishinda mabao 2-0.


No comments:

Post a Comment