KWA HABARI ZA MICHEZO NA BURUDANI WASILIANA NASI KWA NAMBA 0719-153800 AU 0788-455808 AU EMAIL rashidzahor67@gmail.com '

Thursday, September 2, 2010

WAREMBO watakaoshiriki katika shindano la Vodacom Miss Tanzania 2010,wakipata maelezo ya namna ya utengenezaji wa bia zinazozalishwa na Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) kutoka kwaofisa wa kampuni hiyo upande wa upishi,Tumaini Moses walipotembelea makao makuu ya kampuni hiyo jana mjini Dar es Salaam.


No comments:

Post a Comment