KWA HABARI ZA MICHEZO NA BURUDANI WASILIANA NASI KWA NAMBA 0719-153800 AU 0788-455808 AU EMAIL rashidzahor67@gmail.com '

Sunday, September 12, 2010

GENEVIEVE EMMANUEL NDIYE MISS TANZANIA 2010

MREMBO wa Tanzania, Genevieve Emmanuel akipongezwa na mama yake mara baada ya kutangazwa kuwa mshindi wa taji hilo mwishoni mwa wiki iliyopita.
MREMBO wa Tanzania, Genevieve Emmanuel akiwa ndani ya gari aina ya Hyundai alilozawadiwa baada ya kushinda taji hilo.

MRWMBO wa Tanzania wa mwaka 2010, akiwa na mshindi wa pili na wa tatu mara baada ya kuvikwa taji katika shindano lililofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita kwenye ukumbi wa Mlimani City, Dar es Salaam.


No comments:

Post a Comment