KWA HABARI ZA MICHEZO NA BURUDANI WASILIANA NASI KWA NAMBA 0719-153800 AU 0788-455808 AU EMAIL rashidzahor67@gmail.com '

Thursday, September 2, 2010

KOCHA MPYA WA NETIBOLI ATUA NCHINI


KOCHA wa timu ya taifa ya netiboli, Queen Stars,Simone Macknis (wapili kushoto), akiwa na Mwenyekiti wa Chama Cha Netiboli nchini(CHANETA), Anna Bayi,kocha huyo alipowasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam,jana.Kushoto ni Nahodha wa timu hiyo, Jacqueline Sikozi.

No comments:

Post a Comment