KWA HABARI ZA MICHEZO NA BURUDANI WASILIANA NASI KWA NAMBA 0719-153800 AU 0788-455808 AU EMAIL rashidzahor67@gmail.com '

Sunday, March 29, 2015

TENGA KUTETA NA WANAHABARI


Rais wa CECAFA na mjumbe wa Shirikisho la Mpira wa Miguu barani Afrika (CAF), Leodgar Tenga kesho Jumatatu Machi 30, 2015 saa 6:30 mchana ataongea na waandishi wa habari katika ukumbi wa mikutano wa TFF ulioko Uwanja wa Karume.

Waandishi wote wa habari  mnaombwa kuhudhuria mkutano huo bila kukosa.

No comments:

Post a Comment