![]() |
| RAIS Jakaya Kikwete na mkewe Salma Kikwete wakitoa heshima mbele ya jeneza lenye mwili wa mbunge wa Mbinga Magharibi, Kepteni John Komba kwenye viwanja vya Karimjee, Dar es Salaam jana |
![]() |
| RAIS Jakaya Kikwete akimfariji mke wa marehemu Kepteni John Komba, Salome Komba wakati wa kuuaga mwili wake |
![]() |
| MAKAMU wa Rais Dk. Mohammed Gharib Bilal akitoa heshima mbele ya mwili wa marehemu John Komba |
![]() |
| RAIS mstaafu wa awamu ya pili Alhaji Ali Hassan Mwinyi akitoa heshima mbele ya jeneza lenye mwili wa Kepteni Komba |
![]() |
| RAIS mstaafu wa awamu ya tatu Benjamin William Mkapa akitoa heshima mbele ya jeneza lenye mwili wa Kepteni Komba |
![]() |
| WAZIRI Mkuu wa zamani, Edward Lowassa akitoa heshima zake mbele ya mwili wa Komba |
![]() |
| JENEZA lenye mwili wa marehemu John Komba likiwa ndani ya ukumbi wa Karimjee kabla ya waombolezaji kuanza kutoa heshima |
![]() |
| MBUNGE wa Simanjiro, Christopher Ole Sendeka akibubujikwa na machozi baada ya kuuaga mwili wa marehemu John Komba |
![]() |
| RAIS mstaafu wa awamu ya tatu Benjamin Mkapa akiteta jambo na Spika wa Bunge, Anne Makinda wakati wa kuuaga mwili wa marehemu John Komba |









No comments:
Post a Comment