| JENEZA lenye mwili wa marehemu John Komba likiteremshwa kaburini wakati wa mazishi yake yaliyofanyika jana kijijini kwake Lituhi, Mbinga mkoani Ruvuma |
| RAIS Jakaya Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakiweka mchanga kwenye kaburi na marehemu Komba |
![]() |
| Mke wa marehemu Komba, Salome Komba (kushoto) akiweka shada la maua kwenye kaburi la mumewe |
![]() |
| Watoto wa marehemu Komba wakiweka shada la maua kwenye kaburi la marehemu baba yao |
![]() |
| Watoto wa marehemu Komba wakiweka mashada ya maua kwenye kaburi la maua |
![]() |
| Rais Jakaya Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakiweka shada la maua kwenye kaburi la marehemu Komba |
![]() |
| Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akiweka shada la maua kwenye kaburi la marehemu Komba |
![]() |
| Naibu Katibu Mkuu wa CCM Bara, Mwigulu Mchemba na Katibu Mwenezi, Nape Nnauye wakiweka shada la maua kaburini |
![]() |
| Msanii Khadija Kopa akiwa na majonzi baada ya kuweka shada la maua kwenye kaburi la Komba |







No comments:
Post a Comment