KWA HABARI ZA MICHEZO NA BURUDANI WASILIANA NASI KWA NAMBA 0719-153800 AU 0788-455808 AU EMAIL rashidzahor67@gmail.com '

Saturday, April 9, 2016

BREAKING NEWSSSSSS: NDANDA KOSOVO AFARIKI LEO ASUBUHI


Baada ya kuugua kwa siku chache, mwanamuziki nguli wa dansi Ndandaa Kosovo amefariki dunia leo asubuhi. 


Kwa mujibu wa mtu wa karibu na Ndandaa, Kardinal Gento ambaye naye ni mwanamuzi wa dansi, amiethibitishia Saluti5 kuwa Ndandaa amefariki dunia. 

Ndandaa amefariki katika hospitali ya Muhimbili alikokuwa amelazwa tangu juzi kutokana na matatizo ya tumbo.

CHANZO CHA HABARI: SALUTE 5

No comments:

Post a Comment