KWA HABARI ZA MICHEZO NA BURUDANI WASILIANA NASI KWA NAMBA 0719-153800 AU 0788-455808 AU EMAIL rashidzahor67@gmail.com '

Sunday, April 3, 2016

YANGA, MTIBWA SASA KUKIPIGA APRILI 16



Mchezo kati ya Young African dhidi ya Mtibwa Sugar uliokuwa uchezwe Jumatano ya AprilI 6, 2016 umesogezwa mbele na sasa utachezwa tarehe 16 Aprili 2016 katika uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam.

Jumatano ya Aprili 6, ligi kuu itaendelea kwa michezo miwili tu, Azam FC watakua wenyeji wa Ndanda FC katika uwanja wa Azam Complex Chamazi, huku Majimaji FC wakiwakaribisha Coastal Union kwenye uwanja wa Majimaji Songea.

No comments:

Post a Comment