KWA HABARI ZA MICHEZO NA BURUDANI WASILIANA NASI KWA NAMBA 0719-153800 AU 0788-455808 AU EMAIL rashidzahor67@gmail.com '

Tuesday, February 8, 2011

KONYAGI ILIVYOWAZAWADIA MASHABIKI WA SIKINDE

Wanamuziki wa bendi ya Mlimani Park wakiimba wakati wa onyesho la kutangaza kinywaji cha Konyagi lililofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita.

Ofisa Mauzo wa Konyagi, Sankey Mbuji (kulia) akimpatia mshindi wa kujibu maswali kuhusu Sikinde zawadi ya chupa na pakiti za konyagi wakati wa onyesho hilo.

Sankey Mbuji akimpatia mshindi mwingine wa shindano hilo zawadi ya konyagi.

Mashabiki wa bendi ya Mlimani Park wakijimwayamwaya wakati wa onyesho hilo.

Kikosi kamili cha waimbaji wa Sikinde kikilishambulia jukwaa wakati wa onyesho hilo kwenye ukumbi wa DDC Kariakoo, Dar es Salaam.

Waimbaji wa Sikinde wakifanyakazi ya kuimba na kutangaza Konyagi wakati wa onyesho hilo.







No comments:

Post a Comment