KWA HABARI ZA MICHEZO NA BURUDANI WASILIANA NASI KWA NAMBA 0719-153800 AU 0788-455808 AU EMAIL rashidzahor67@gmail.com '

Wednesday, October 1, 2014

METTY AJA NA KIBAO KIPYA 'NAJUA'



Wimbo mpya ya msanii Metty, uitwao 'Najua', unatarajiwa kuzinduliwa leo katika vyombo mbalimbali vya habari, ndani na nje ya nchi.


Katika wimbo huo, Metty amemshirikisha msanii Conrad, anayekuja kwa kasi katika tasnia ya muziki wa bongo flava.

Wimbo huo umetayarishwa katika studio mpya za kisasa za Centric Records, chini ya producer Davy Machords.

Metty amewaomba wadau na wapenzi wa muziki wa kizazi kipya kutoa ushirikiano wa nguvu katika kazi zake za muziki.

No comments:

Post a Comment