KWA HABARI ZA MICHEZO NA BURUDANI WASILIANA NASI KWA NAMBA 0719-153800 AU 0788-455808 AU EMAIL rashidzahor67@gmail.com '

Sunday, October 19, 2014

MAKAMUZI YA MSONDO NGOMA KUELEKEA MIAKA 50 NA BENDI



 Wanamuziki wa bendi ya Msondo Ngoma wakitumbuiza katika onesho lao la kusherehekea kutimiza miaka 50 toka kuanza kwa bendi hiyo lililofanyika katika viwanja vya Sigara Chang'ombe jijini Dar es Salaam.kutoka kushoto ni Said Mabela, Othuman Kambi na Mustafa Pishuu.
Wacharaza magita wa bendi ya msondo ngoma wakiwajibika wakati wa onesho lao hilo. kushoto ni Said Mabela na Mustafa Pishuu. 
Waimbaji wa bendi ya Msondo Ngoma wakitoa budurani kwa mashabiki wako wakati wa onyesho la muendelezo wa wiki ya kutimiza miaka 50 ya bendi hiyo lililofanyika katika viwanja vya Sigara Chang'ombe jijini Dar es salaam. kutoka kushoto ni Othuman Kambi, Shabani Dede na Juma Katundu.Picha na Burudan Blog.

No comments:

Post a Comment