KWA HABARI ZA MICHEZO NA BURUDANI WASILIANA NASI KWA NAMBA 0719-153800 AU 0788-455808 AU EMAIL rashidzahor67@gmail.com '

Wednesday, November 9, 2011

OSHA YAIPIGA JEKI SHIMIWI



Mwenyekiti wa SHIMIWI, Daniel Mwalusamba (kushoto) akipokea msaada wa kofia na miamvuli kutoka kwa Mwenyekiti wa Klabu ya Michezo ya Osha, Mary Makala katika hafla iliyofanyika juzi kwenye Uwanja wa Mkwakwani mjini Tanga. (Picha na Sophia Wakati)

No comments:

Post a Comment