KWA HABARI ZA MICHEZO NA BURUDANI WASILIANA NASI KWA NAMBA 0719-153800 AU 0788-455808 AU EMAIL rashidzahor67@gmail.com '

Wednesday, November 2, 2011

KUMBE MZEE MWINYI NI MAN UTD?



RAIS Mstaafu Ali Hassan Mwinyi akipokea zawadi ya fulana ya Manchester United kutoka kwa mchezaji nyota wa zamani wa klabu hiyo, Bryan Robson (kulia) wakati mchezaji huyo alipokuja kuzindua kliniki ya Airtel Raising Star mwishoni mwa wiki iliyopita. Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Airtel, Sam Elangalloor.

No comments:

Post a Comment