KWA HABARI ZA MICHEZO NA BURUDANI WASILIANA NASI KWA NAMBA 0719-153800 AU 0788-455808 AU EMAIL rashidzahor67@gmail.com '

Saturday, July 7, 2012

WABUNGE WA SIMBA WAWAKANDAMIZA WENZAO WA YANGA 3-2

Zitto Kabwe (kushoto) akijaribu kumtoka mbunge wa Yanga timu hizo zilipomenyana jana katika tamasha la matumaini lililofanyika kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Wabunge wa Simba walishinda kwa penalti 3-2.

Joshua Nassari (kushoto) akimtoka mbunge wa Yanga timu hizo zilipomenyana jana kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

Kikosi cha wabunge wa Simba kikiwa katika picha ya pamoja kabla ya mchezo huo

Kikosi cha wabunge wa Yanga kikiwa katika picha ya pamoja kabla ya mchezo huo

Wabunge wa Simba wakishangilia ushindi wao kwa kucheza kiduku baada ya mchezo huo kumalizika

Wachezaji na mashabiki wa timu ya wabunge wa Simba wakishangilia ushindi wao baada ya mchezo kumalizika.

Zitto Kabwe (kushoto) na William Ngeleja (wa pili kushoto) wakiwaongoza wenzao kushangilia ushindi.

Ni raha tupu. Wabunge wa Simba wakishangilia kwa kucheza kiduku

Du! Haiwezekani tumepigwa! Ndivyo anavyoelekea kusema mbunge huyu wa Yanga baada ya mchezo kumalizika.

Kipa na beki wa wabunge wa Yanga wakitoka uwanjani kwa masikitiko baada ya timu yao kufungwa.

Tumefungwa, lakini timu yetu nzuri. Ndivyo wanavyojipa moyo wabunge na mashabiki hawa wa Yanga

No comments:

Post a Comment