KWA HABARI ZA MICHEZO NA BURUDANI WASILIANA NASI KWA NAMBA 0719-153800 AU 0788-455808 AU EMAIL rashidzahor67@gmail.com '

Tuesday, July 17, 2012

JOYCE BALUHI ATWAA TAJI LA MISS MOROGORO 2012

Mrembo wa Morogoro 2012, Joyce Baluhi (katikati) akiwa na mshindi wa pili, Salvina Kibona (kushoto) na mshindi wa tatu, Irene Thomas mara baada ya kumalizika kwa shindano hilo lililofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita kwenye hoteli ya Morogoro.

Mrembo mpya wa Morogoro, Joyce Baluhi (kushoto) akiwa na mrembo wa mwaka jana wa mkoa huo, Asha Salehe mara baada ya kumkabidhi taji hilo katika shindano lililofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita kwenye hoteli ya Morogoro.

No comments:

Post a Comment