KWA HABARI ZA MICHEZO NA BURUDANI WASILIANA NASI KWA NAMBA 0719-153800 AU 0788-455808 AU EMAIL rashidzahor67@gmail.com '

Wednesday, May 30, 2012

BENDI MPYA YAANZISHWA DAR

BENDI mpya ya muziki wa dansi ya WK Music Sound mwishoni mwa wiki iliyopita ilifanya onyesho la utambulisho wake lililofanyika kwenye ukumbi wa Pentagon uliopo Kurasini, Dar es Salaam. Bendi hiyo inaundwa na wanamuziki wengi maarufu kutoka bendi mbalimbali za mjini Dar es Salaam. Pichani, baadhi ya wanamuziki wa bendi hiyo wakiwajibika stejini wakati wa onyesho hilo. (Picha na Emmanuel Ndege).

No comments:

Post a Comment