KWA HABARI ZA MICHEZO NA BURUDANI WASILIANA NASI KWA NAMBA 0719-153800 AU 0788-455808 AU EMAIL rashidzahor67@gmail.com '

Saturday, June 23, 2012

MIYEYUSHO AMDUNDA MASAMBA WA MALAWI

Bondia Francis Miyeyusho (kushoto) akimshambulia bondia kutoka Malawi, John Masamba wakati wa mpambano wao uliofanyika Dar es salaam jana. Miyeyusho alishinda kwa K.O Raundi ya 5.

No comments:

Post a Comment