KWA HABARI ZA MICHEZO NA BURUDANI WASILIANA NASI KWA NAMBA 0719-153800 AU 0788-455808 AU EMAIL rashidzahor67@gmail.com '

Saturday, August 4, 2012

YANGA YAMTAMBULISHA RASMI DIDIER KAVUMBANGU

Ofisa Habari wa Yanga, Louis Sendeu akimkabidhi jezi namba 21 mshambuliaji mpya wa timu hiyo, Didier Kavumbangu katika hafla iliyofanyika makao makuu ya klabu hiyo mitaa ya Twiga na Jangwani, Dar es Salaam. Yanga imemsajili Kavumbangu kutoka Atletico ya Burundi.

No comments:

Post a Comment