KWA HABARI ZA MICHEZO NA BURUDANI WASILIANA NASI KWA NAMBA 0719-153800 AU 0788-455808 AU EMAIL rashidzahor67@gmail.com '

Wednesday, September 22, 2010

GURUMO ANAPOPONGEZWA NA WATOTO


BAADHI ya wanafunzi wa shule za msingi za mkoa wa Dar es Salaam wakigombea kumpa mkono kiongozi wa bendi ya muziki wa dansi ya Msondo Ngoma, Muhidin Gurumo wakati wa onyesho lililofanyika jana kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja, Dar es Salaam kwa ajili ya maadhimisho ya siku ya Amani Afrika.

No comments:

Post a Comment