Friday, August 3, 2012

HUU NDIO MKOKO MPYA WA NGASA ALIOPEWA NA SIMBA

Hapa Ngasa akiwa ndani ya mkoko wake mpya aliopewa na Simba

Huu ndio mkoko mpya aliopewa Ngasa unavyoonekana kwa mbele

Baadhi ya mashabiki wa Simba wakimchungulia Ngasa alipokuwa ndani ya mkoko wake

No comments:

Post a Comment