LIWAZO ZITO BLOG
Saturday, January 27, 2018

AZAM, YANGA KUPIGWA SAA 10 CHAMAZI

›
Mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara msimu wa 2017/2018 kati ya Azam FC na Young Africans utachezwa saa 10 jioni Azam Complex Chama...
Monday, December 11, 2017

PAPII KOCHA AANGUA KILIO BAADA YA KUPATA TAARIFA ZA KUACHIWA HURU

›
MWANAMUZIKI Johnson Nguza (Papii Kocha), jana, aliangua kilio cha furaha, baada ya kupata taarifa za kuachiwa huru kutokana na agizo ...
Sunday, November 12, 2017

UWANJA WA TAIFA RUKSA KUTUMIKA NOVEMBA 21

›
Matengenezo Uwanja Mkuu wa Taifa, Dar es Salaam, umekamilika na Mheshimiwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Harrison Geo...

DK. MWAKYEMBE ATEUA KAMATI YA AFCON U17 2019

›
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Harrison George Mwakyembe leo Jumamosi Novemba 11, amezindua Kamati ya Maandalizi ya Ma...

CHIRWA MCHEZAJI BORA WA MWEZI LIGI KUU

›
Mshambuliaji wa Young Africans ya Dar es Salaam, Obrey Chirwa amechaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa Oktoba wa Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) msim...

TFF YAENDESHA MAFUNZO VYUONI SOKA YA UFUKWENI

›
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) litatoa mafunzo ya soka la ufukweni (Beach Soccer) kwa vyuo mbalimbali hapa nchini vilivyothi...

35 WATEULIWA KUUNDA KILIMANJARO WARRIORS

›
Benchi la Ufundi la timu za taifa za vijana, limeita wachezaji 35 kwa ajili ya kambi yenye lengo la mchujo kutafuta kikosi imara cha timu ...

TFF YATOA UFAFANUZI WA MALIPO MICHUANO YA ASFC

›
Wakati Michuano ya Kombe la Shirikisho la Azam yaani Azam Sports Federation Cup (ASFC), ikiwa imeanza jana Novemba 02, 2017 na kuendelea l...

LIGI YA WANAWAKE KUANZA NOVEMBA 26

›
Ratiba ya Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania Bara inayotarajiwa kuanza Novemba 26, 2017, katika vituo viwili vya majiji ya Dar es Salaam na Aru...

TANZANIA BARA YATHIBITISHA KUSHIRIKI CHALENJI ZOTE

›
Baada ya kupita miaka miwili bila kuchezwa kwa mashindano ya kuwania Kombe la Chalenji kwa nchi za Afrika Mashariki, michuano hiyo imere...
Sunday, October 29, 2017

SIMBA, YANGA ZASHINDWA KUTAMBIANA

›
Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania mzunguko wa nane imeendelea tena kwa mchezo mmoja uliowakutanisha watani wa Jadi nchini Simba na Yanga ambap...
Tuesday, October 24, 2017

TAIFA STARS KUJIPIMA UBAVU NA BENIN UGENINI

›
KOCHA wa timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Salum Mayanga amewarejesha kikosini kiungo Farid Mussa na mshambuliaji, Elias Maguri kwa...

KUZIONA SIMBA, YANGA BUKU KUMI, MECHI KUCHEZWA SHAMBA LA BIBI

›
KIINGILIO cha chini katika mchezo wa mahasimu wa jadi, Simba na Yanga utakaofanyika Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam Oktoba 28, kitakuwa ni ...

YANGA YATOA DOZI YA 4G KWA STAND UNITED

›
YANGA SC wameonyesha wapo tayari kutetea ubingwa, baada ya leo kuwafumua mabao 4-0 wenyeji Stand United kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya Voda...
Sunday, October 22, 2017

SIMBA YAIPA KISAGO MJI NJOMBE

›
SIMBA jana iliendelea kuchanja mbuga katika kuwania ubingwa wa ligi kuu ya soka ya Tanzania Bara baada ya kuicharaza Mji Njombe mabao ...
Saturday, October 21, 2017

DAKTARI ASEMA ALIMKUTA KANUMBA AKIWA AMESHAKUFA

›
DAKTARI wa familia ya msanii maarufu wa filamu nchini, marehemu Steven Kanumba, Dkt, Paplas Kagaia, ameileza mahakama Kuu ya Tanzan...

LIGI KUU BARA USHINDANI KILA KONA

›
Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL), inatarajiwa kuendelea kesho Ijumaa Oktoba 20, 2017 kwa mchezo mmoja utakaokutanisha timu za Mwad...

WANAWAKE 28 WAHITIMU KOZI YA UKOCHA TFF

›
Makocha 28 wanawake kutoka vyuo mbalimbali vya Maendeleo ya Jamii nchini leo Oktoba 17, 2017 wamehitimu kozi fupi ya ukocha katika kozi i...
Friday, October 13, 2017

TFF YATAWATOA MAKOCHA KATIKA MABENCHI

›
Bodi ya Ligi (TPLB) ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania, limewapiga marufuku makocha watano wa timu za Ligi Daraja la Kwanza kukaa k...
›
Home
View web version

About Me

My photo
Ramoza
My name is Mohamed Rashid Zahor, I was born in 1967 in Tabora Region, I'm freelance journalist.
View my complete profile
Powered by Blogger.