Tuesday, May 18, 2010
UNAWAKUMBUKA WACHEZAJI HAWA?
HIKI ni kikosi cha wachezaji wa Simba kilichotamba miaka ya 1970 kwa kufanya vizuri katika michuano ya ligi na ya kimataifa. Je, unawakumbuka wachezaji hawa? Anayewakumbuka tunaomba atusaidie majina yao.
No comments:
Post a Comment
‹
›
Home
View web version
No comments:
Post a Comment