Tuesday, May 18, 2010

HII NDIO YANGA BWANA!



Wana-Yanga wa zamani wanakwambia kwamba hii ndiyo Yanga Original, iliyokuwa imesheheni wachezaji mbalimbali wenye uwezo wa kufanya maajabu uwanjani. Je, unawakumbuka wachezaji hawa? Yoyote anayewakumbuka tunaomba atusaidie majina yao.

No comments:

Post a Comment