![]() |
| MWENYEKITI wa Kamati ya Mashindano ya Miss Tanzania 2016, Hashim Lundenga (kulia) akimtangaza mshindi wa shindano la Miss Talent, lililofanyika juzi kwenye hoteli ya Jembe Beach, mjini Mwanza. |
![]() |
| MSHINDI wa shindano la Miss Talent, Lisa Mdoro kutoka Singida, akipongezwa na washiriki wenzake baada ya kuibuka mshindi. |
![]() |
WASHIRIKI wa shindano la Miss Tanzania 2016, wakionyesha umahiri wao wa kucheza muziki wakati wa shindano la Miss Talent. |
![]() |
| LISA Mdoro kutoka Singida, akionyesha manjonjo ya kucheza ngoma za asili na hatimaye kuibuka mshindi. |
![]() |
| WASHIRIKI wa Miss Tanzania, wakicheza muziki wa kizazi kipya |
![]() |
| WASHINDI watano wa mwanzo wa shindano la Miss Talent. |






No comments:
Post a Comment