Thursday, November 22, 2012

KILIMANJARO STARS WATEMBELEA TBL MWANZA

Wachezaji wa Kilimanjaro Stars wakiwa katika ziara ya Kiwanda cha Bia Tanzania Tawi la Mwanza juzi ambapo pia walihudhuria semina iliyoandaliwa na Bia ya Kilimanjaro Premium Lager. Kilimanjaro Stars
inayoondoka leo kuelekea Kampala kwa michuano ya CECAFA Challenge, inadhaminiwa na Bia ya Kilimanjaro Premium Lager.

No comments:

Post a Comment