Friday, September 7, 2012
YANGA WATEMBELEA TBL
Wachezaji wa timu ya soka ya Yanga leo walitembelea makao makuu ya Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) na kujionea shughuli mbali mbali zinazofanywa na kampuni hiyo, ikiwa ni pamoja na utengenezaji wa bia. Yanga inadhaminiwa na TBL.
No comments:
Post a Comment
‹
›
Home
View web version
No comments:
Post a Comment