Thursday, September 13, 2012

VIMWANA WA ALLY CHOKI

Mabinti hawa ni wacheza shoo wa bendi ya Extra Bongo inayoongozwa na Ally Choki kama walivyokutwa na mpiga picha wetu, Emmanuel Ndege katika ukumbi wa Dar Live uliopo Mbagala, Dar es Salaam mwishoni mwa wiki iliyopia.


No comments:

Post a Comment